Uwanja wa Michezo wa Toyama

Uwanja wa Michezo wa Toyama ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Toyama city, Toyama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kataller Toyama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,251.[1]

Uwanja wa Michezo wa Toyama Athletics

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Toyama kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.