Uwanja wa Michezo wa Wink Athletics

Uwanja wa Michezo wa Wink Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Himeji, Hyōgo Kansai nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya AS Harima Albion na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]

Uwanja wa Michezo wa Wink Athletics

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Wink Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.