Uwanja wa Michezo wa Yamashiro Park Taiyogaoka
Uwanja wa Michezo wa Yamashiro Park Taiyogaoka ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1982 kwenye mji wa Uji, Kyoto nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sagawa Printing SC SP Kyoto FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yamashiro Park Taiyogaoka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |