Uwanja wa Michezo wa Yonezawa

Uwanja wa Michezo wa Yonezawa ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Yonezawa, Yamagata nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,600.[1]

Uwanja wa Michezo wa Yonezawa

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yonezawa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.