Uwanja wa Uhuru (Namibia)

Uwanja wa uhuru Namibia ni uwanja wa taifa wa nchi ya Namibia uliopo katika jiji la Windhoek ukiwa na uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki 25,000 mbali na michezo, uwanja huu hutumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kijamii na kitaifa.

Uwanja wa Uhuru(Namibia)

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Uhuru (Namibia) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.