Uwanja wa mchezo wa Mokati

Uwanja wa michezo wa Mokati ni uwanja wa michezo ambao upo katika Otjiwarongo,nchini Namibia. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu za Mighty_Gunners_F.C. na Life Fighters F.C., waliokuwa wakishiriki ligi kuu ya Namibia.[1].

Marejeo

hariri
  1. Life Fighters return to Premiere League The Namibian, 2016-03-13
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa mchezo wa Mokati kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.