Uwanja wa michezo Lat-Dior

Jengo nchini Senegal

Uwanja wa michezo wa Lat Dior ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli mbalimbali unapatikana huko Thiès, nchini Senegal. Uwanja huu umepewa jina kwa heshima ya Lat Jor [1]. Unastahimili takribani watu 20,000.[2]

Uwanja wa michezo Lat-Dior

Marejeo hariri

  1. Duvernoy, G. L. (1833). Notice Historique Sur Les Ouvrages et la vie de M. Le B.on Cuvier/par G.L. Duvernoy. Paris: Chez F.G. Levrault. uk. 541. doi:10.5962/bhl.title.39629. 
  2. https://www.seneplus.com/sports/lat-dior-coince-par-un-avenant-dun-demi-milliard
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Lat-Dior kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.