Uwanja wa michezo Zuka Baloyi

Uwanja wa michezo Zuka Baloyi ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi ya Welkom, Afrika ya Kusini. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa kilabu cha mpira cha Dinonyana na kilabu cha mpira cha Harmony.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Zuka Baloyi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.