Uwanja wa michezo wa 7 Oktoba
Jengo lililopo Afrika
Uwanja wa michezo wa 7 Oktoba ni uwanja wa nyasi uliopo mjini Tripoli, nchini Libya na unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu.
Uwanja una uwezo wa kuchukua takribani watu 5,000 na ulijengwa mnamo mwaka 1939. Ulipewa jina la Uwanja wa Municipal na ulikua uwanja wa shirikisho la mpira uko Tripoli, nchini Libya kabla ya mwezi Juni 11 uwanjwa ulijengwa tena mwaka 1970s. Unatumika kama uwanja wa mazoezi ya timu ya klabu ya Al-Ittihad .[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Soccerway". Iliwekwa mnamo 8 Mei 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa 7 Oktoba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |