Uwanja wa michezo wa Al-Hilal
Uwanja wa Al-hilal uliopo nchini Sudan
Uwanja wa michezo wa Blue Jewel (lang-ar | الجوهرة الزرقاء) ni uwanja wenye matumizi mengi, ulioko Omdurman Jimbo la Khartoum nchini Sudan. Unatumika zaidi kwa mechi mpira wa miguu (soka) na pia wakati mwingine kwa riadha. Ni uwanja rasmi wa nyumbani wa klabu ya Al-Hilal Club. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 65,000.
Katika sherehe ya ufunguzi mnamo Ijumaa 26 Januari 1968 Al-Hilal Ilicheza dhidi ya wageni Timu ya kitaifa ya Soka ya Ghana. Mechi iliisha kwa sare ya bao 1-1.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Al-Hilal kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |