Uwanja wa michezo wa Aluminium

Jengo nchini Misri

Uwanja wa michezo wa Aluminium ni uwanja wa michezo ambao upo mji wa Nag Hammadi nchini Misri. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Aluminium Nag Hammâdi,klabu ya mpira wa miguu inayochoshiriki ligi ya daraja la Pili ya Misri.

uwanja wa michezo wa Aluminium

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Aluminium kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.