Uwanja wa michezo wa Bahir Dar
Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Bahir Dar(lang-am | ባሕር ዳር ዓለም አቀፍ ስታዲየም) ni uwanja wa michezo ambao haujakamilika na ni uwanja wenye malengo mengi huko Bahir Dar nchini Ethiopia. Unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) | mpira wa miguu ingawa pia ina vifaa vya mchezo wa riadha Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 60,000.[1] Hivi sasa, uwanja huo ndio mkubwa zaidi nchini kwa uwezo, lakini kwa sasa hauna viti, toa, au vifaa vyovyote, zaidi ya vifaa vya saruji za muundo.
Historia
haririUjenzi wa Uwanja wa Bahir Dar ulianzishwa mnamo mwaka 2008 na MIDROC Ethiopia. [2] Mnamo mwaka wa 2015, uwanja huo uliweza kutambuliwa kutoka kwenyhe Shirikisho la Soka la Afrika | CAF na FIFA na uliandaa mechi zake za kwanza za kimataifa.[1]
Mnamo Machi mwaka2015, uwanja huo ulitumika kuliandaa mechi ya Kombe la Shirikisho la CAF kati ya Dedebit F.C. na Cote d'or ya Seychelles. Mnamo Juni 14 mwaka 2015, Uwanja wa Bahir Dar uliandaa shirikisho la kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Timu ya kitaifa ya Ethiopia | Ethiopia na Lesotho.[3] Mchezo huo ulihudhuriwa na watazamaji zaidi ya 70,000 ambao ulikuwa zaidi ya uwezo wa uwanja. [4]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Tolesa, Dawit (2015-02-28). "Tanzania/Ethiopia: Football Showdown in Bahir Dar Stadium - Dedebit Vs Cote d'Or and St. George Vs MC El Eulma". Allafrica.com. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
- ↑ "MIDROC Ethiopia to build stadium in Bahir Dar City". Nazret.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
- ↑ "Lesotho/Ethiopia: Ethiopia Start Campaign With Victory Over Lesotho Featured". Allafrica.com. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
- ↑ "African Nations Cup - Ghana ease past Mauritius". Espfc.com. Iliwekwa mnamo 2015-06-18.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bahir Dar kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |