Uwanja wa michezo wa Botshabelo
Uwanja wenye matumizi mbalimbali uliopo Botshalebo, Free State, Afrika Kusini
Uwanja wa Kaizer Sebothelo ni uwanja wenye matumizi mengi ya kimichezo unao patikana katika mji wa Botshabelo, Free State, huko nchini Afrika Kusini. Kwa sasa uwanja huu unatumiwa zaidi kwa michezo ya mpira wa miguu almaarufu kama (soka) na ndio hasa uwanja wa nyumbani wa timu ya Hunters FC na Shamrock Flowers inayocheza kwenye Ligi ya ABC Motsepe.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Botshabelo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |