Uwanja wa michezo wa Caroline Faye

Uwanja wa mchezo wa manspaa ya de Mbour ni uwanja wa michezo ambao pia hujulikana kama (Uwanja wa mchezo wa Caroline Faye) ni uwanja wa huko M'Bour nchini Senegal. Hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na inatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Stade Mbour. Uwanja huo una uwezo wa watu 5,000.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Caroline Faye kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.