Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle
Jengo barani Afrika
Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle ni uwanja wa michezo unaopatikana Porto-Novo, Benin lililopewa jina baada ya Charles de Gaulle.Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka. Na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya 'Ouémé, Aiglons FC. Uwanja una uwezo wa kubeba washabiki 15,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ liberte-algerie.com. "ÉCHOS DE PORTO-NOVO : Toute l'actualité sur liberte-algerie.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-16. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |