Uwanja wa michezo wa Chemelil
Uwanja wa chemelil uliopo nchini kenya
Uwanja wa michezo wa Chemelil ni uwanja wa shughuli mbalimbali za kimichezo unaopatikana huko Chemelil nchini Kenya. Unatumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Chemelil Sugar FC. Uwanja huo una uwezo wa kuhimili watu takribani 5,000.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Chemelil kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |