Uwanja wa michezo wa Cotonou II

Uwanja wenye matumizi mbalimbali uliopo Porto-Novo nchini benin

Uwanja wa michezo wa Cotonou II ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana Porto-Novo, nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya shirikisho la mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya USS Kraké inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 6,000.[1]

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Cotonou II kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.