Uwanja wa michezo wa Dan Anyiam

Uwanja wa Michezo

Uwanja wa Dan Anyiam ni uwanja wa michezo wenye matumizi mbalimbali uliopo katika Jimbo la Imo nchini Nigeria.

Ramani ya Nigeria

Historia hariri

Uwanja huo umepewa jina la Daniel Anyiam, makamu nahodha wa kwanza wa timu ya kitaifa ya mpira wa miguu ya Nigeria.

Mnamo mwaka wa 2019, gavana wa Jimbo la Imo Emeka Ihedioha wakati wa "Ujenzi wa Mradi wa Imo" alitoa idhini ya ukarabati wa Uwanja wa Dan Anyiam pamoja na miradi mingine.[1]

Matumizi hariri

Uwanja huu unatumika zaidi kwa mechi za chama cha mpira wa miguu na pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Heartland F.C

Uwezo hariri

Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 10,000.

Marejeo hariri

  1. "‘Imo’s new path will galvanise South East’s sports development’". guardian.ng (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-12-27. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Dan Anyiam kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Viunga vya nje hariri