Uwanja wa michezo wa Faiyumu

Umejengwa Misri

Uwanja wa michezo wa Al-Fayoum ni uwanja unaotumiwa kwa kazi na michezo mbalimbali. Uwanja huu upo Fayoum nchini Misri. Unatumika zaidi kwa mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Misr El Makasa. Uwanja huo una uwezo wa kuingiza idadi ya watu takribani 20,000 [1]. Uwanja huu umefungwa kabisa kwa sasa.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Faiyumu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.