Uwanja wa michezo wa Goble Park
Goble Park ni uwanja wa matumizi mbalimbali huko Bethlehem, Dola Huru, nchini Afrika Kusini. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka). Unatumika pia kama ukumbi wa nyumbani na timu ya Free State Stars F.C. na timu ya Super Eagles F.C. katika Ligi Kuu ya Soka na Daraja la Kwanza la Kitaifa mtawaliwa. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 5,000.
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Venue information Ilihifadhiwa 21 Julai 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Goble Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |