Uwanja wa michezo wa Gusii

unatimika kwa matumizi mengi na upo Kisii, nchini Kenya,

Uwanja wa michezo wa Simeon Nyachae Kisii ni u wanja wa michezo unaotumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali na unapatikana huko Kisii, nchini Kenya. Unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Shabana Kisii. Uwanja huu unaingiza takribani watu 5,000. Ulibadilishwa jina na raisi wa kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye mazishi ya Simeon Nyachae.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Gusii kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.