Uwanja wa michezo wa Hartleyvale

Uwanja wa michezo wa Hartleyvale ni uwanja wa mchezo wa magongo ulioko Observatory,nchini Afrika Kusini. Hapo awali ilitumika kama uwanja wa mpira wa miguu na na timu ya Cape Town City F.C. (NFL) iliyoko Jiji la Cape Town wakati ikishiriki kwenye Ligi kuu ya Taifa Afrika Kusini enzi izo, na vile vile na Hellenic FC mwishoni mwa miaka ya 1980. Hivi sasa ni uwanja wa Hockey,na upo karibu uwanja mdogo unatumika kwa mpira wa miguu na timu za mtaani za ambazo zinajifunza.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Hartleyvale kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

]