Uwanja wa michezo wa Horseed

Uwanja wa michezo wa Horseed ni uwanja wa michezo uliopo katika eneo la Horseed nchini Somalia, ni uwanja unaotumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu ,pia ni uwanja wa nyumbani wa timu inayoshiriki ligi kuu ya Somalia ya Horseed FC.[1] Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000.

Viungo vya Nje hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Horseed kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.