Uwanja wa michezo wa Ilaro

Uwanja wa michezo wa Ilaro ni uwanja wa michezo unaotumiwa, na unapatikana huko Ilaro, nchini Nigeria. ulijengwa mnamo mwaka 2008, kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu na mechi pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Gateway F.C.. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu takriban 12,000. Uwanja huo kwa sasa upo katika barabara ya Idogo huko Ilaro.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ilaro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.