Uwanja wa michezo wa J. Stephanus

Uwanja wa michezo wa J. Stephanus ni uwanja wa michezo huko Keetmanshoop katika eneo la Karas kusini mwa nchi ya Namibia. Ni uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Fedics United FC katika Ligi Kuu ya Namibia.[1]

Marejeo hariri


Marejeo hariri

  1. Football Fixtures The Namibian, 13 March 2009
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa J. Stephanus kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.