Uwanja wa michezo wa Jay Jay Okocha

Uwanja wa Jay Jay Okocha ni uwanja unaopatikana huko Aniocha Kusini nchini Nigeria na uliopewa jina la nahodha wa zamani wa Super Eagles Jay-Jay Okocha. Hivi sasa unatumika zaidi kwa mpira wa miguu [soka] la miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya {Delta Force FC} Iliyopewa jina jipya baada ya (Okocha) mnamo Juni mwaka 2008, uwanja huo una uwezo wa kubeba watu 8,000 na uliandaa mechi za Mashindano ya 2008 WAFU U-20 na ilishinda timu ya kitaifa ya mpira wa miguu chini ya miaka 20 ya Ghana.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Okeleji, Oluwashina. "Okocha's emotional testimonial", BBC Sport, British Broadcasting Corporation, 27 June 2008. Retrieved on 19 July 2012. 
  2. "Ghana too strong for Senegal", The Daily Observer, Banjul, Gambia: Observer Company Ltd., 1 December 2008. Retrieved on 19 July 2012. Archived from the original on 17 February 2012. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Jay Jay Okocha kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.