Uwanja wa michezo wa Kakyeka
Uwanja wa Kakyeka ni uwanja wa michezo wa jiji la Mbarara City katika Mkoa wa Magharibi, nchini Uganda.[1]
Uwanja huo uko upande wa Magharibi wa jiji kuu na una uwezo wa zaidi ya watu 10000. Hivi sasa inatumiwa kama uwanja wa nyumbani wa Mbarara City FC, klabu ya mpira wa miguu inayocheza kwenye ligi kuu ya Uganda.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "MBARARA DISTRICT TO REDEVELOP KAKYEKA REGIONAL STADIUM | Mbarara District". www.mbarara.go.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-11. Iliwekwa mnamo 2020-07-12.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "FUFA clears Kakyeka Stadium to host Mbarara City's home matches". Kawowo Sports (kwa American English). 2020-02-05. Iliwekwa mnamo 2020-07-11.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kakyeka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |