Uwanja wa michezo wa Khaled Bichara

Uwanja wa El Gouna nchini Misri

Uwanja wa michezo wa Khaled Bichara(kiarabuستاد خالد بشارة), hapo awali ulijulikana kama Uwanja wa El Gouna, ni uwanja wa matumizi mengi unaotumiwa zaidi na Chama cha mpira wa miguu na mechi huko El Gouna nchini Misri, ambapo unauwezo wa kuchukua watu 12,000. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya El Gouna FC.[1]

Mnamo tarehe 15 Februari mwaka 2020, El Gouna FC ulitangaza kwamba uwanja huo umepewa jina na kuwa Uwanja wa Khaled Bichara, uliopewa jina la Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa klabu ya Khaled Bichara aliyekufa katika ajali ya gari mwishoni mwa mwezi Januari mwaka 2020.[2]

marejeo

hariri
  1. "Stadiums in Egypt". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-30. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. @GounaFC (15 Februari 2020). "El Gouna FC is honored to announce that El Gouna Stadium has been officially renamed to "Khaled Bichara Stadium"" (Tweet) – kutoka Twitter. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Khaled Bichara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.