Uwanja wa michezo wa Kipchoge Keino

Uwanja wa michezo wa Kipchoge Keino ni uwanja wa michezo unaopatikana huko Eldoret nchini Kenya. umepewa jina kutokana na mwana riadha wa mbio ndefu Kipchoge Keino.Unachukua takribani watu 10,000. Mwaka 2007,serekali ya kenya ilitoa kiasi cha milioni 100Ksh ili kukarabati uwanja huo. Uwanja huo umetumiwa na timu za mpira wa miguu kama vile Rivatex na Eldoret KCC lakini kwa sasa hakuna timu kutoka Eldoret inayo shiriki katika Ligi Kuu ya Kenya. Uwanja huo pia hutumiwa kwa mikutano ya riadha. Uwanja huo uliandaa Mashindano ya 2016 Olimpiki Kenya .[1]

Marejeo

hariri
  1. App, Daily Nation. "Eldoret to host Olympic trials". mobile.nation.co.ke (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-05. Iliwekwa mnamo 2019-12-05. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kipchoge Keino kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.