Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Sardauna

Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Sardauna ni uwanja wa michezo wa matumizi mengi huko Gusau Jimbo la Zamfara nchini Nigeria.[1].Hivi sasa inatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya (Zamfara United F.C) ya Ligi Kuu ya Nigeria. Uwanja huo una uwezo wa kukaliwa na takribani watu 5,000..[1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Stadiums in Nigeria". World Stadiums. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-18. Iliwekwa mnamo 2008-06-17. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Sardauna kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.