Uwanja wa michezo wa Linguère
Uwanja wa Linguère hujulikana sana kama Stade Mawade Wade ni uwanja wa shughuli mbalimbali za kimichezo huko Saint-Louis nchini Senegal. Kwa sasa hutumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka) na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya ASC Linguère inayoshiriki Ligi Kuu ya Senegal. Uwanja huo una uwezo wa kuhimili watu 8,000.
Viungo Vya Nje
hariri- [http://web.archive.org/20210610175340/http://www.worldstadiums.com/africa/countries/senegal.shtml Ilihifadhiwa 10 Juni 2021 kwenye Wayback Machine. Stadium information
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Linguère kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |