Uwanja wa michezo wa Lumumba
Uwanja wa Lumumba ni uwanja uliopo Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000 kwa mechi za mpira wa miguu. Na pia unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya AS Nika, TS Malekesa na AS Makis ya Linafoot.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Lumumba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |