Uwanja wa michezo wa Mandela

Uwanja wa michezo wa Mandela ni uwanja wenye shughuli mbalimbali za kimichezo nchini Uganda. Ulipewa jina hilo la Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kwa kupinga ubaguzi wa rangi.[1] Rekodi ya mahudhurio ya uwanja huo iliwekwa mnamo mwaka 2004, katika mechi ya mpira wa miguu kati ya timu za taifa ya Uganda na Afrika Kusini.[2]

Uwanja wa michezo Mandela


Viungo Vya Nje hariri

Marejeo hariri

  1. Bakama, James (7 December 2013). "Ugandan sports will miss Mandela". New Vision. Kampala. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-20. Iliwekwa mnamo 26 October 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. https://www.11v11.com/teams/uganda/tab/stats/option/attendances/
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mandela kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.