Uwanja wa michezo wa Maniang Soumaré
Uwanja wa michezo wa Maniang Soumaré ni uwanja wa michezo unatumika kwa shughuli mbalimbali na upo Thiès, nchini Senegal. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na klabu ya US Rail.[1] inacheza mechi zake kadhaa kwenye uwanja huu kama uwanja wa nyumbani [2].[3]. Unaingiza takribani watu 8,000.
Marejeo
hariri- ↑ Senegal 2010
- ↑ Senegal 2000/01
- ↑ "World Stadiums - Stadiums in Senegal". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-10. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Maniang Soumaré kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |