Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djougou

Uwanja wa michezo wa Manispaa ya Djougou ni uwanja wa michezo unaopatikana Djougou, nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Panthères FC inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 3,400.[1]

Uwanja wa manispaa ya Djougou.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djougou kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.