Uwanja wa michezo wa Matatiele

Uwanja wa michezo wa Matatiele ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali huko Matatiele iliyopo Afrika Kusini. Mara nyingi uwanja huu umekuwa ukitumiwa kwa kuchezeshea mechi za mchezo wa Soka, pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Matat Professionals.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Matatiele kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.