Uwanja wa michezo wa Mkwakwani
Uwanja wa michezo wa Mkwakwani ni uwanja wa madhumuni mbalimbali ikiwemo michezo uliopo katika mkoa wa Tanga nchini Tanzania.Uwanja huo unatumika sana katika ligi kuu ya soka nchini humo.Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Coastal Union F.C., African Sports, na JKT Mgambo.[1] ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 15,000 [1]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "MKWAKWANI STADIUM". Soccerway. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mkwakwani kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |