Uwanja wa michezo wa Mmabatho

Uwanja wa michezo wa Mmabatho ni uwanja unaotumika kwa matumizi ya michezo mbalimbali uliopo Mafikeng nchini Afrika Kusini. Mara nyingi umekuwa ukitumika kwa mchezo wa Soka Mpira wa miguu. Uwanja huo una uwezo wa kuingiza idadi ya watu wapatao 59,000 na ulijengwa na kuundwa mnamo mwaka 1981 na kampuni ya ujenzi ya Waisraeli.[1][2]

Ubunifu wa uwanja huo unafanana na ule uwanja wa michezo wa Odi unaopatikana huko Mabopane.[3][4]

Marejeo hariri

Kigezo:Rejea 25°49′53.78″S 25°37′13.62″E / 25.8316056°S 25.6204500°E / -25.8316056; 25.6204500

  1. Lissoni, Arianna. "Apartheid Israel: The Politics Of An Analogy - Apartheid's "Little Israel": Bophuthatswana". Africaisacountry. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-06. Iliwekwa mnamo 30 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Goldwert, Mark (26 May 2017). "The Strange Case Of The Mmabatho Stadium". Box To Box Football. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.  Check date values in: |date= (help)
  3. Davis, Kitty (2019-03-26). What Happened to South African Stadiums After 2010 FIFA World Cup. SA Stadiums. Retrieved 2020-04-09.
  4. "South Africa: One of two unique giants at risk of collapse – StadiumDB.com". stadiumdb.com. Iliwekwa mnamo 2021-05-04.