Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon
(Elekezwa kutoka Uwanja wa michezo wa Municipal de Bohicon)
Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon ni uwanja wenye matumizi mengi inayopatikana Bohicon,nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Tonnerre d'Abomey FC inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 5,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27.
Viungo vya nje
hariri- Maelezo ya uwanja Archived 8 Januari 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |