Uwanja wa michezo wa Rafik Sorman
Uwanja wa michezo wa Rafik Sorman(Kiarabu ستاد رفيق سورمان) ni uwanja unao tumika kwa matumizi mbalimbali ya kimichezo huko Sorman nchini Libya. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu(soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Rafik Sorman. Uwanja huo unauwezo wa kuchukua takribani idadi ya washabiki 8,000.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Rafik Sorman kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |