Uwanja wa michezo wa Ramblers

[[Picha:Ramblers Stadium croppe.jpg|300px|right|Uwanja wa michezo wa Ramblers]] Uwanja wa michezo wa Ramblers Ni uwanja maalumu kwa ajili ya mchezo wa soka unaopatikana huko (Windhoek),nchini Namibia. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Ramblers F.C. na una uwezo wa kuingiza watu 1000.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ramblers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.