Uwanja wa michezo wa Rotary

Uwanja wa michezo wa Rotary ni uwanja wa matumizi mengi ikiwemo ya kimichezo unaopatikana huko Mthatha, Eastern Cape,Afrika Kusini. Mara nyingi unatumika kwa mchezo wa mpira wa miguu; pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Mthata Liverpool F.C.

Uwanja Wa Rotary

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Rotary kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.