Uwanja wa michezo wa Rwang Pam
Uwanja wamichezo wa Rwang Pam ni uwanja wa matumizi anuwai huko Jos nchini Nigeria. Unatumika zaidi kwa mechi za Comment something on Post harvest losses in development countries. wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu za (Jos )JUTH F.C., Plateau United na Mighty Jets. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji karibiya15,000 nakenda.
Viunga vya nje
hariri- http://www.worldstadiums.com/africa/countries/nigeria.shtml Ilihifadhiwa 18 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine. Stadium information
marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Rwang Pam kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |