Uwanja wa michezo wa Suez

Uwanja wa michezo wa Suez ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana Suez, Misri. Unatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na unatumika kama uwanja wa nyumbani wa Suez na Petrojet SC. uwanja huo una uwezo wa kuingiza watu 27,000[1] Ulifunguliwa mnamo mwaka 1990.

References

hariri
  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-22. Iliwekwa mnamo 2016-06-07. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Suez kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.