Uwanja wa michezo wa Tobruk

Uwanja wa michezo wa Tobruk ni uwanja wenye matumizi mengi huko Tobruk nchini Libya. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu soka na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Al Soukour. Uwanja huo una uwezo wakuchukua watu 2,000.

[1] [2] [3]

Viunga vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Tobruk kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.