Uwanja wa michezo wa Tuks

Uwanja wa michezo wa Tuks ni uwanja wa michezo ambao Wakati mwingine unajulikana kama uwanja wa ABSA Tuks kwa sababu za udhamini. Ni uwanja wa soka wa Hatfield Pretoria, na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya chuo Kikuu cha Pretoria F.C..[1]

Uwanja wa michezo wa Tuks

Marejeo hariri

  1. "Stadium". amatuks.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-06. Iliwekwa mnamo 22 November 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)

[

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Tuks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.