Uwanja wa michezo wa Wad Madani

Uwanja wa michezo wa Wad Madani ni uwanja wenye matumizi mengi huko Wad Medani, nchini Sudan. Hivi sasa unatumiwa zaidi na Chama cha mpira wa miguu pamoja na mechi ,pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Ittihad Wad Medani, Al Ahly Wad Medani na Jazeerat Alfeel. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 15,000. Ulitumika kuandaa mechi kadhaa wakati wa Kombe la Mataifa ya Afrika la mwaka 1970 huko Sudan.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wad Madani kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.