Uwanja wa michezo wa Wadi Al Rabi
Uwanja wa michezo wa Wadi Al Rabi ni uwanja wa kisasa unaojengwa huko tripoli nchini Libya. Ulipangwa kuwa mahali pa Kombe la Mataifa ya Afrika,mnamo mwaka 2017 ambapo ungeweza kuwa uwanja ambao ungechezewa mechi ya ufunguzi na mechi ya mwisho.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wadi Al Rabi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |