Uwanja wa michezo wa Westdene

Uwanja wa Westdene, inajulikana pia kama uwanja wa michezo wa Westdene, ni uwanja wenye matumizi mengi katika mji wa Bloemfontein, eneo huru la Afrika ya Kusini. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa kilabu cha Roses United na kilabu cha Celtic Colts.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Westdene kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.