Uwanja wa michezo wa Wonji

Uwanja wa michezo wa Wonji ni uwanja unaotumika katika michezo mbalimbali huko Wonji Oromia nchini Ethiopia. Hutumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu, na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa Klabu ya Muger Cement na Wonji Sugar. Una uwezo wakuchukua idadi ya watu 14,000.


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Wonji kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.